Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya
wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni
kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri
watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na
semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au
kwenye elimu bure.
Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo
Mazingira: Makamba, naibu Makamba
Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma
Ulemavu: Mavunde
Kilimo, mifugo na uvuvi:...
Thursday, December 10, 2015
Wednesday, December 9, 2015
Tuesday, December 8, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)